Karibu katika Jumuiya ya Kilangala
Uinjilisti

Idara hii ilikuwa maono ya kwanza ya Treintje Beimars mwanzilishi wa Kilangala Mission tangu 1967, kueneza Injili ya Yesu katika maeneo ya mbali. Hiyo ina maana idara hii ndiyo moyo wa Misheni. Kwa wakati huu tunatarajia kuendelea na njia tofauti kutokana na mabadiliko ya Teknolojia. Tungependa kuzunguka vijiji vyetu ambavyo ni takriban Vijiji 20. Tumeamua kuacha uchapishaji wa gazeti za NURU na kulenga zaidi OUTREACH ambayo itakuwa na ufanisi zaidi. Shughuli zitakazofanyika wakati wa uhamasishaji ni; Kuhubiri Injili, Kuimba kwa kwaya na Sinema ya Yesu. Na pia bado tunaendelea kufundisha injili mashuleni.
Uinjilisti kwa kila mtu
Esta Simtowe
Kiongozi muhimu Nuru
Copyright © 2022 by the Multimodus Foundation - All Rights reserved.