Copyright © 2022 by the Multimodus Foundation - All Rights reserved.
Nyumba ya watoto inahudumia yatima na watoto waliotelekezwa. Wengi wao ni yatima wa UKIMWI ambao wanahitaji matibabu. Mapacha wa Albino, Stella & Gustave, wamekuja kwenye kituo cha watoto yatima kwa sababu Albino wanatendewa ukatili katika eneo hili la Afrika. Watoto hawa wanapata huduma ya kila siku, ikiwa ni pamoja na chakula, usimamizi wa watu wazima na umakini wa upendo, na mahitaji mengine ya msingi. Wafanyakazi wenye uwezo wanawatunza kwa wakati wote. Watoto wanafundishwa njia za Kristo.
Nyumba ya Watoto ina uwanja wa michezo, jikoni, sebule, sehemu ya kulaa chakula na vyumba vya kulala. Kuna umeme wa kutosha kwaajili ya mwanga pamoja na kutazama televisheni. Kwa jumla kuna wasimamizi kadhaa walioteuliwa kuhakikisha watoto wote wanajisikia wako nyumbani na nipazuri. Gina Mulungu ni Kiongozi Muhimu wa Nyumba ya Watoto.
Wajibu wa Huduma ya Yatima
Gina Mulungu
Mkuu wa Idara
Aida Stanley
Mlezi wa watoto
Jenifrida Lwela
Mlezi wa watoto
Oliveta Wangao
Mlezi wa watoto
Veronica John
Msaidizi mkuu wa Idara